Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Nishati

Gas Company (Tanzania) Limited

Miradi Yetu

Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Usambazaji wa Gesi Asilia...

Mkataba ulisainiwa tarehe 20 Disemba, 2024. Utekelezaji wa mradi ulianza tarehe 28 Machi, 2025. Utekelezaji wa mradi umefikia asilimia 90%. Manunuzi ya FMS skid yanaendelea. Mradi unategemewa kukamilika tarehe 24 Agosti, 2025.

Uhandisi, Ununuzi, na Ujenzi wa Bomba la Gesi Asilia la Kuun...

Mwezi Desemba 2024, GASCO iliingia mkataba na PUMA kwa ajili ya ujenzi wa bomba la gesi linalounganisha na vituo vya PUMA CNG vinavyojengwa katika maeneo ya Mbezi Beach Tangibovu na Tegeta IPTL. Ujenzi wa bomba la gesi la inchi 4 kuelekea Kituo Kikuu...

Uhandisi, Ununuzi na Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia kw...

Mradi huu unahusisha utekelezaji wa kazi za Uhandisi, Ununuzi wa vifaa, na Ujenzi (EPC) kwa ajili ya uunganishaji wa miundombinu ya gesi asilia kwenye Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG) cha TANHealth kilichopo Mbezi Beach, Dar es Salaam. Mkataba wa u...

Uunganishaji wa ndani kuelekea kiwanda cha Knauf - Mkuranga

Mradi huu ulitekelezwa baada ya kusainiwa kwa mkataba tarehe 21 Machi 2025, ukiwa na muda wa utekelezaji wa miezi mitatu. Lengo kuu la mradi lilikuwa kufanya kazi za uunganishaji wa ndani wa miundombinu ya gesi asilia kuelekea kiwanda cha Knauf kilic...

Video