Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Usambazaji wa Gesi Asilia Dar es Salaam - BQ and ENERGO
Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Usambazaji wa Gesi Asilia Dar es Salaam - BQ and ENERGO
Imewekwa: 31 July, 2025

- Mkataba ulisainiwa tarehe 20 Disemba, 2024.
- Utekelezaji wa mradi ulianza tarehe 28 Machi, 2025.
- Utekelezaji wa mradi umefikia asilimia 90%.
- Manunuzi ya FMS skid yanaendelea.
- Mradi unategemewa kukamilika tarehe 24 Agosti, 2025.