Shughuli za Ujenzi
Shughuli za Ujenzi
Imewekwa: 08 January, 2024

GASCO imepewa utaalamu, uzoefu, na maarifa katika ujenzi wa miundombinu ya gesi asilia. GASCO imejenga zaidi ya kilomita 45 ya mtandao wa usambazaji kwa wateja wa kay, Viwanada na taasisi katika Mikoa ya DSM, Mtwara na Pwani. Kwa sasa, GASCO imepewa mkataba na TPDC kwa ajili ya kuunganisha bomba la gesi kwenda kwenye vituo vya kujazia magari vya (BQ na ENERGO) vilivyopo barabara ya goba kutokea masanna na maeneo karibu na kiwanda cha Cocacola. Pia imeingia mikataba na kampuni ya PUMA na TANHEALTH kwa ajili ya kujenga bomba la gesi kuelekea kwenye vituo vya PUMA vya kujaza gesi kwenye magari maeneo ya Tegeta IPTL na Mbezi Tangibovu Dar-es--salaam n kituo cha TANHEALTH kilichopo maeneo ya Mbezi Beach Africana.