Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Nishati

Gas Company (Tanzania) Limited

Mradi : Mradi wa kusambaza miundombinu ya gesi asilia Dar-es-salaam - DUCE na MLIMANI CITY

  • Mkataba umesainiwa 20/08/2024
  • Urefu wa mkataba - Miezi 9
  • Mradi umeanza rasmi 12/02/2025
  • Majaribio kabla ya kukabidhi mradi yamekamilika -June 2025
  • Mradi umefikia asilimia 99.4% mpaka sasa.
  • Mradi unategemea kukamilika rasmi 20/08/2025

- Hatua za Mradi
lbl_no_milestones_found