Mradi wa kusambaza miundombinu ya gesi asilia Dar-es-salaam - DUCE na MLIMANI CITY
Mradi wa kusambaza miundombinu ya gesi asilia Dar-es-salaam - DUCE na MLIMANI CITY
Imewekwa: 31 July, 2025

- Mkataba umesainiwa 20/08/2024
- Urefu wa mkataba - Miezi 9
- Mradi umeanza rasmi 12/02/2025
- Majaribio kabla ya kukabidhi mradi yamekamilika -June 2025
- Mradi umefikia asilimia 99.4% mpaka sasa.
- Mradi unategemea kukamilika rasmi 20/08/2025