Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Nishati

Gas Company (Tanzania) Limited

UTIAJI SAINI MKATABA

Imewekwa: 07 September, 2026
UTIAJI SAINI MKATABA

GASCO imesaini mkataba na Elephant Paper International Company Limited, iliyopo Mkuranga, Mkoa wa Pwani, kwa ajili ya ujenzi na uunganishaji wa kiwanda na miundombinu ya bomba la gesi asilia.

Mradi huu utatekelezwa na GASCO kama Mkandarasi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia, kwa kuzingatia viwango vya juu vya ubora, usalama na ufanisi.

Utekelezaji wa mradi huu ni sehemu ya juhudi za GASCO katika kupanua matumizi ya gesi asilia katika sekta ya viwanda, kuongeza ufanisi wa nishati na kuchochea maendeleo ya viwanda nchini.

slot gacor